![]() |
Ajali hii
ambayo imetokea katika Mlima Msebeyi wilayani Uvinza mkoani Kigoma,imelihusisha
Lori lililokuwa limebeba shehena ya mbolea ambayo baada ya kupata ajali
ilimwagika na Dereva amenusurika kufa.Picha Na:- Prosper Laurent
Kwigize-Kigoma.
|
Karibu
kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana
/Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp
+255789925630.

No comments:
Post a Comment