AJALI :- Watu wawili wamepoteza maisha baada ya Lori la Mizigo kuangua eneo la Sekenke mkoani Singida. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, October 30, 2014

AJALI :- Watu wawili wamepoteza maisha baada ya Lori la Mizigo kuangua eneo la Sekenke mkoani Singida.



Ajali hii imetokea jana October 29,2014,majira ya  jioni huko maeneo ya Sekenke mkoani Singida ambapo Lori hilo la Migizo liliua papo hapo Dereva wake na Utingo.Aidha chanzo cha ajali inaelezwa ni kufeli kwa mfumo wa breki wa Lori hilo.

Picha zote Na:-Mwanawamakonda WhatsApp +255789925630


Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad