AJALI :- Taswira ya Picha 4 za Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo October 31, 2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, October 31, 2014

AJALI :- Taswira ya Picha 4 za Basi la Simba Mtoto lagongana uso kwa uso na lori Daraja la Wami leo October 31, 2014.

Basi la Simba Mtoto linalofanya safari zake kati ya Dar es Salaam na Tanga likiwa limegongana uso kwa uso na Lori la mizigo katikati ya Daraja la Mto Wami mkoani Pwani,leo October 31,2014,baada ya mfumo wa breki wa Lori kufeli na Dereva wa lori hilo amefariki papo hapo na wengine kujeruhiwa.




Baadhi ya wasamaria wema wakijaribu kumchomoa Dereva  wa Lori hilo aliyekuwa amebanwa vibaya,ambalo namba zake za usajili hazikufahamika mara moja.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.
 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad