UCHAGUZI MKUU CHADEMA 2014:-Makatibu wateule hawa hapa,Salum Mwalimu,Mnyika Ndani - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, September 16, 2014

UCHAGUZI MKUU CHADEMA 2014:-Makatibu wateule hawa hapa,Salum Mwalimu,Mnyika Ndani

Kutoka kushoto ni Naibu Mkuu zanzibar Mh Salum Mwalimu Juma, Katikati ni Naibu katibu Mkuu Bara Mh John Mnyika na Kulia ni Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa.

 Makatibu wa CHADEMA wateule

Zanzibar-Naibu katibu Mkuu

1.Salum Mwalimu amabye ni Mtangazaji wa channel ten na mfanyakazi wa vodacom ateuliwa kuwa naibu katibu mkuu Zanzibar-CHADEMA.

Naibu Katibu Mkuu

1.Johny Johny Mnyika

Amrithi  Zitto Kabwe awa naibu katibu mkuu CHADEMA.

Katibu Mkuu

1. Dr. Wilbrod Peter Slaa

 Katibu Mkuu Dr Wilbroad Slaa .

Naibu Katibu Mkuu Bara Mh John Mnyika.

Naibu Katibu Mkuu Zanzibar Mh Salum Mwalimu Juma.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad