UBAYA WA KUFUNGWA NI HASIRA:-Picha 7 za Vurugu zilizofanya na Mashabiki wa CSKA Moscow baada ya kufungwa na AS Roma 5 – 1 Septemba 17,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, September 18, 2014

UBAYA WA KUFUNGWA NI HASIRA:-Picha 7 za Vurugu zilizofanya na Mashabiki wa CSKA Moscow baada ya kufungwa na AS Roma 5 – 1 Septemba 17,2014.


Gervinho aliyeondoka Arsenal amefunga mabao mawili wakati timu yake ya AS Roma ikiikandamiza CSKA Moscow kwa mabao 5-1, Jana Septemba 17,2014 katika mchezo wa UEFA 2014/2015,hali iliyosababisha kuibuka kwa vurugu kubwa.
KUNDI E 

Bayern Munich 1 - 0 Man City

AS Roma 5 - 1 CSKA Moscow


Mashabiki hao Warusi hawajakubaliana na timu yao kupokea kipigo hicho kikubwa.


Wakaamua kufanya vurugu kubwa ambayo iliwalazimu askari kufanya kazi ya ziada.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad