TLIKOTOKA NI MBALI:- Tazama Picha 12 za Magari yenye sura mbaya zaidi Duniani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, September 03, 2014

TLIKOTOKA NI MBALI:- Tazama Picha 12 za Magari yenye sura mbaya zaidi Duniani.

Kampuni ya Magari ya FORD ni miongoni mwa makampuni maarufu ya magari duniani lakini hapa 'designing' iliwashinda! Hilo ni FORD EDSEL  liliundwa miaka 50 iliyopita.

Orodha bado ni ndefu; Pichani ni CHEVROLET CORVAIR ambalo likisahaulika 'haki haijatendeka!

600-Aurora huenda likavunja rekodi,ambalo limeelezwa kufanana na mnyama Faru anaemkimbiza adui yake! baadhi ya Watoto wakiliona hili huanza kulia akiwemo mtoto wa Martin Jusper wa Uingereza anayelimiliki.

Black Falcon,ambalo limeundwa na Kampuni ya DARTZ Motorz Company,ya Uchina.

Gari hilo Black Falcon kama linavyoonekana kwa ndani; Limetengenezwa kama sehemu ya maadhimisho ya siku ya NYOKA inayosherehekewa nchini China.

Sehemu ya Tangazo la Gari hilo linalotarajiwa kuanza kuuzwa katika soko la magari la Mashariki ya Kati na Arabuni mapema mwaka huu.


Maelezo ya hili yamejitoshelezakatika picha AMC PACER ambalo liliundwa mwaka 1975.Ni baya lakini limeelezwa kuwa miongoni mwa magari yenye spidi kubwa enzi hizo.

Picha juu ni Gari aina ya  TOYOTA BB miongoni mwa magari yanayotajwa kuwa mabaya zaidi duniani.

Chevrolet hivi leo ni gari inayopendwa na kuhusudiwa na wapenzi wa magari duniani lakini designing hii duh! Hiyo ni Chevy Chevette   iliyoundwa miaka kama 60 iliyopita lakini baada ya kutembea 40,000 Injini yake ikasambaratika kutokana na 'kuchemsha'

Miongoni mwa mengine pia limo Aston Martin Lagonda hilo hapo juu.
UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad