Baada ya
vyombo mbalimbali vya habari kuripoti kuwa Diamond Platnumz na Wema hawataoana
na sasa Diamond ana mpango wa Kuoana na Meninah, huku Septemba 28,2014, ikiwa
ni siku ya kuzaliwa ya Wema Sepetu.
Diamond Platnumz amefunga midomo ya
wanafiki wote wanaolimendea penzi lake na wema kwa kuweka ujumbe huu
mzito:-
“Laiti kama
Maneno yangelikuwa ni sumu basi amini, Penzi letu lingekuwa lishazikwa na
Kuoza…Maana sjui ni kipi hakijazungumzwa…..vya furaha, Chuki, shangwe, fitina,
Vita, majungu, Misukosuko na mabalaa ya kila aina….lakini siku zote tumekuwa
tukipendana na kuthaminiana kama tumeanzana jana, kwakuwa tulijua si kosa lao,
ni hawajui tu niwapi tulipotokea…to the world, you may be one person…But to me,
you are the world, My Beautiful World…na kama kukupenda ni uwendaazimu basi ni
bora Nikabaki kwenye uchizi wangu kuliko kupata Ufahamu….i may not be
physically present to stand by you while you cut your cake, but you’ll be in my
thoughts the whole day! Happy birthday Darling….mmeo niko nahangaika, bt i will
be coming home soon….Love you mama”
|
No comments:
Post a Comment