PICHA / UMOJA WETU:-Mwanamke mwenye kufanya mahusiano na watu wako wa karibu ni Kuleta Maendeleo na Uhusiano mwema. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, September 29, 2014

PICHA / UMOJA WETU:-Mwanamke mwenye kufanya mahusiano na watu wako wa karibu ni Kuleta Maendeleo na Uhusiano mwema.

Sifa bora kwa Mwanamke kuwa na Dini, tabia na maadili mema,Kumpendeza mume anapomuangalia. 

 Kupendeza na uzuri ni vitu ambavyo kila mwanamme ana kile anachokiona kuwa ni kizuri,Kuwa ni mwenye kuchangamana wenzake na mwenye moyo wa bashasha kabisa.

Kwa ajili hiyo anatakiwa awe ni mwanamke mwenye kufanya mahusiano na watu wako wa karibu ili kuwe na maendeleo na uhusiano mwema.

Karibu kwenye familia ya Makonda Blog na uzipokee Picha/Habari zote kwa kutumiwa Mchana /Usiku baada tu ya kujiunga kwa kubonyeza hapa mtu wangu >>>BONYEZA HAPA.>>>Pia tutumie tukio la Picha kwa WhatsApp +255789925630.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad