LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Badala ya Oktoba 12,2014,sasa rasmi Simba SC v Yanga SC Oktoba 18,2014 Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, September 26, 2014

LIGI KUU VODACOM 2014/2015:-Badala ya Oktoba 12,2014,sasa rasmi Simba SC v Yanga SC Oktoba 18,2014 Taifa.


Shirikisho la soka nchini -TFF imefanya marekebisho ya Ratiba yake ya Ligi Kuu Vodacom ili kuipisha Mechi ya Kimataifa ya Kirafiki kati ya Taifa Stars na Benin itakayochezwa Oktoba 12 Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam Siku ambayo ndio ilikuwa iwe Dabi ya Kariakoo, ule mtanange wa Mahasimu wa Jadi, Yanga SC na Simba SC.

Sasa Dabi hii itafanyika Oktoba 18,2014,kwenye Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam.

Kwa mujibu wa marekebisho hayo ya Ratiba, baada ya Mechi za Ligi za Oktoba 5 hapatakuwa na Mechi za Ligi hadi Oktoba 12.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.

   Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 


LIGI KUU VODACOM 2014/2015 RATIBA.


Septemba 27,2014.

Simba SC v Polisi Moro [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]

Mtibwa Sugar v Ndanda FC [Manungu, Morogoro]

Azam FC v Ruvu Shooting [Azam Complex, Dar es Salaam]

Mbeya City v Coastal Union [Sokoine, Mbeya]

Mgambo JKT v Stand United [Mkwakwani, Tanga]

Septemba 28,2014.

JKT Ruvu v Kagera Sugar [Azam Complex, Dar es Salaam]

Yanga SC v Prisons [Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam]
MSIMAMO VPL 2014/2015.


NA TIMU P W D L F A GD PTS
1 Ndanda FC 1 1 0 0 4 1 3 3
2 Azam FC 1 1 0 0 3 1 2 3
3 Mtibwa Sugar 1 1 0 0 2 0 2 3
4 Tanzania Prisons 1 1 0 0 2 0 2 3
5 Mgambo JKT 1 1 0 0 1 0 1 3
6 Coastal Union 1 0 1 0 2 2 0 1
7 Simba 1 0 1 0 2 2 0 1
8 Mbeya City 1 0 1 0 0 0 0 1
9 JKT Ruvu 1 0 1 0 0 0 0 1
10 Kagera Sugar 1 0 0 1 0 1 -1 0
11 Polisi Moro 1 0 0 1 1 3 -2 0
12 Yanga 1 0 0 1 0 2 -2 0
13 Ruvu Shooting 1 0 0 1 0 2 -2 0
14 Stand United 1 0 0 1 1 4 -3 0

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad