MAENDELEO:-Airtel yawafikishia Wanakijiji wa Sigunga mkoani Kigoma Huduma za Mawasiliano. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, August 22, 2014

MAENDELEO:-Airtel yawafikishia Wanakijiji wa Sigunga mkoani Kigoma Huduma za Mawasiliano.

Uzinduzi huo unafatia jitihada za kampuni ya Airtel kuendelea kuboresha mawasiliano ya huduma za simu za mkononi katika maeneo mbalimbali nchini husasani katika maeneo ya vijijini huku lengo likiwa ni kuzifikia jamii zinayoishi pembezoni mwa nchi huduma bora ya Airtel Money.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad