TUNAOMBA RADHI:-Ajichoma Kisu na Kuokolewa na Raia wema…Ni Nakatunga,wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, July 14, 2014

TUNAOMBA RADHI:-Ajichoma Kisu na Kuokolewa na Raia wema…Ni Nakatunga,wilayani Ngara mkoani Kagera.


Huyu ni Mwanamke ambaye jina lake halikufahamika haraka,amejichoma kisu katika mwili wake ,Katika tukio ambalo chanzo chake mpaka sasa hakijajulikanajioni.


Tukio hilo limetokea Jana Julai 13,2014,Majira ya jioni saa 12 katika  Eneo la Nakatunga mjini Ngara ambapo raia wema walifanikiwa kumuwahisha Hospitalini na Amelazwa Hospitali ya Murgwanza kwa Matibabu zaidi!!

Habari zaidi tutaendelea kuwaletea Juu ya tukio hili.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad