PICHA / AJALI :-Tazama taswira ya Ajali ya Daladala iliyotokea eneo la Tabata Matumbi Jijini Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 04, 2014

PICHA / AJALI :-Tazama taswira ya Ajali ya Daladala iliyotokea eneo la Tabata Matumbi Jijini Dar es Salaam.

Daladala aina ya Toyota DCM lenye namba za usajili T 344 AHZ lifanyalo safari zake kati ya Mtoni Mtongani na Ubungo jijini Dar es Salaam likiwa limeharibika baada ya kugongana na Lori eneo la Tabata Matumbi Julai 03,2014.

Mashuhuda wa ajali hiyo wameipasha Blog hii kuwa daladala hilo lilipata ajali hiyo wakati Lori hilo likivuka barabara na kuligonga katikati. 



Chanzo:-father kidevu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad