KOMBE LA DUNIA 2014:-Ujerumani ndiyo timu ya kwanza kufuzu kwa nusu fainali ya kombe la dunia huko Brazil. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 04, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:-Ujerumani ndiyo timu ya kwanza kufuzu kwa nusu fainali ya kombe la dunia huko Brazil.

Beki wa timu ya Taifa ya Ujerumani, Mats Hummels ameifungia bao pekee timu yake Dakika ya 13,katika mchezo wa Robo Fainali wa Kombe la Dunia 2014, Uwanja wa Maracana, Brazil dhidi ya Ufaransa na kuiwezesha kutinga Nusu Fainali ya michuano hiyo.

Kufuatia ushindi huo dhidi ya Ufaransa ,Ujerumani sasa ndiyo timu ya kwanza kuwahi kufuzu kwa nusu fainali katika mashindano manne ya kombe la dunia mfululizo .
Kufuatia ushindi huo Ujerumani watakutana na mshindi baina ya Brazil na Colombia katika hatua ya nusu fainali .
KOMBE LA DUNIA
RATIBA
**Saa za Bongo
ROBO FAINALI
IJUMAA, JULAI 4, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
France 0 Germany 1 [57]
ROBO FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro
2300
Brazil v Colombia [58]
ROBO FAINALI
Estadio Castelão, Fortaleza
JUMAMOSI, JULAI 5, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina v Belgium [59]
ROBO FAINALI
Nacional, Brasilia
2300
Netherlands v Costa Rica [60]
ROBO FAINALI
Arena Fonte Nova, Savador
NUSU FAINALI
JUMANNE, JULAI 8, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Germany v Mshindi 58 [61]
NUSU FAINALI
Estadio Mineirão, Belo Horizonte
JUMATANO, JULAI 9, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Mshindi 59 Mshindi 60 [62]
NUSU FAINALI
Arena Corinthians, Sao Paulo
MSHINDI WA TATU
JUMAMOSI, JULAI 12, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2300
Aliefungwa 61 v Aliefungwa 62
MSHINDI WA 3
Nacional, Brasilia
FAINALI
JUMAPILI, JULAI 13, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
2200
Mshindi Mechi 61 v Mshindi Mechi 62
FAINALI
Estadio do Maracanã, Rio de Janeiro

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad