KERO YA MAJI:-Wakazi wa Manispaa ya Kigoma sasa kunufaika na Huduma ya Maji safi na Salama kwa lita zaidi ya milioni 57 kwa siku kuzalishwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 05, 2014

KERO YA MAJI:-Wakazi wa Manispaa ya Kigoma sasa kunufaika na Huduma ya Maji safi na Salama kwa lita zaidi ya milioni 57 kwa siku kuzalishwa.

Moja ya miradi mikubwa ya maji mkoani Kigoma na hili ni moja ya matanki  7 ya mradi wa maji wa Shilingi Bilioni 35 ,ukitekelezwa katika Manispaa ya Kigoma ujiji.


Mradi huu ulianza mwezi Mach 2013 na unatarajia kukamilika Mach 2015 kwa fedha za Europian Union chini ya KfW  na utafanya Manispaa ya Kigoma upate lita zaidi ya milioni 57 kwa siku kati ya mahitaji ya lita milioni zaidi ya 20 ,kiwango hicho cha uzalishaji ni pamoja na miundombinu ya zamani kwani mradi huu pekee utazalisha lita milioni 42. Picha na Jacobo Luviro-Kigoma.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad