AJALI:-Tazama Jinsi Basi la Hood lilivyopata Ajali kwa Kugongana na Lori mkoani Mbeya Leo Julai 26,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, July 26, 2014

AJALI:-Tazama Jinsi Basi la Hood lilivyopata Ajali kwa Kugongana na Lori mkoani Mbeya Leo Julai 26,2014.


..............Muda mchache baada ajali kutokea Leo Julai 26,2014,Asubuhi...............


Askari wa Usalama wa Barabarani wakiwa wamefika eneo la tukio  na baadhi ya Mashuhuda wakishuhudia ajali hiyo.




Basi la Hood limepata ajali asubuhi ya leo (Julai 26,2014) likitoka Jijini Mbeya na haijafahamika mara moja lilikuwa linaelekea wapi na haijafahamika kama kuna watu waliojeruhiwa, endelea kufutilia hapa kupata taarifa kamili hii ni taarifa ya awali.

Picha na Mbeya yetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad