UCHAFUZI WA MAZINGIRA:-Serikali wilayani Ngara,mkoani Kagera litazameni hili la Vigae vya chupa za Primus zilizovunjika kutupwa Wwilayani kwetu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, June 11, 2014

UCHAFUZI WA MAZINGIRA:-Serikali wilayani Ngara,mkoani Kagera litazameni hili la Vigae vya chupa za Primus zilizovunjika kutupwa Wwilayani kwetu.

Hivyo ni vigae vya chupa za bia aina ya Primus zilizovunjika  toka nchini burundi, zinaletwa kutupwa nchini Tanzania hasa wilayani Ngara ,mkoani Kagera; inasemekana huwa zinaletwa na magari na madereva wa kitanzania, yametupwa nje kidogo ya Mji wa Kabanga na ukivuka Daraja kuelekea K9…



Kamati ya Ulinzi na Usalama ya Eneo husika la Kata ya Kabanga ni lazima kuchukua tahadhari kwani siyo tu kwamba vinaharibu hali ya barabara, wapitaji na vyombo vya usafiri bali pia ni Uchafuzi na Uharibifu wa mazingira, uoto wa asili na mabadiliko ya tabia nchi.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad