TUZO:-PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014…''Ujumbe wa DIAMOND PLATNUMZ...@ DAVIDO akinyakua Tuzo ya BEST AFRICAN ACT BET AWARDS 2014 . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 30, 2014

TUZO:-PICHA ZA RED CARPET YA TUZO ZA BET 2014…''Ujumbe wa DIAMOND PLATNUMZ...@ DAVIDO akinyakua Tuzo ya BEST AFRICAN ACT BET AWARDS 2014 .


Diamond Platnumz akihojiwa na Karrueche Tran ambaye ni mpenzi wa Chris Brown kwenye Red Carpet ndani ya Ukumbi wa Nokia, Los Angeles, California usiku wa June 29,2014.

Msanii Diamond Platnumz Jana June 29,2014, katika tuzo za Bet Nchini Marekani kuwa Tuzo zimefanyika na Tuzo aliyowania Diamond ya Best Africa Act imekwenda kwa msanii mwenzake Davido kutoka Nigeria.
 
Kwenye instagram Ya Diamond Kuna Huu Ujumbe kuhusu Matokeo Hayo.

” Tusipopenda kukubali Matokeo na Ushindi wa Wenzetu basi Daima Hatutaweza kuwa Washindani….Muhimu ni kujua wapi tulipotoka na Wapi tulipo Leo… Katika Nchi zaidi ya 20 zenye wasanii zaidi ya Million 40, kuchaguliwa Tanzania ni fursa, Heshima na Hatua kubwa… Cha Muhimu ni kuitumia vyema Fursa Hii na Kuhakikisha Mwakani tunapiga Hatua Zaidi!…. Asante sana kwa wote wanaozidi kuni support kwa hali na Mali, Mapambano ndio kwaaaanza yanaanza sasa…..!!!!!! @wcb_wasafi For Life Bab


Mwanamuziki kutoka Nigeria, Davido ametwaa tuzo ya BET ya Best African Act iliyokuwa pia ikiwaniwa na msanii Diamond Platinumz wa Tanzania. Katika kundi hilo pia walikuwemo Mafikizolo (Afrika Kusini), Sarkodie (Ghana), Tiwa Savage (Nigeria) na Toofan (Togo).....

Baada ya kupokea tuzo yake davido ilikiandika hichi kwenye ukurasa wake wa instagram hapa chini.

Davido akiwa na Pharell Williams kwenye tuzo hizo za BET 2014 usiku wa June 29,2014.

Diamond katika pozi na Nelly.


Nelly.


Adrienne Bailon


Amber Rose.


Angela Simmons.


Ashanti.


DJ Khalil.


Floyd Mayweather akiwa na mpenzi wake.


Charli Baltimore.


Donnivin Jordan.


Gabrielle Union.


John Legend.


Ne-Yo akipozi kwenye Red Carpet.


Paris Hilton.


Sage The Gemini.


Snootie Wild.


Stephen Bishop.


Tameka "Tiny" Harris.


Tatyana Ali.


T.I.


Tiwa Savage.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad