......Rais wa Afrika Kusini Jacob Zuma.........
|
Rais wa
Afrika Kusini, Jacob Zuma amelazwa hospitalini kwa uchunguzi wa afya atapumzika
kwa muda ingawa ataendelea na majukumu akiwa nyumbani.
Taarifa hii
ni kwa mujibu wa maafisa kutoka kwa ofisi yake.
Taarifa hiyo ilisema kuwa Zuma
atalazimika kumpumzika kwa muda ingawa ataendelea na majukumu yake ya kitaifa
akiwa nyumbani.
“Hapo jana Ijumaa Rais Zuma alishauriwa kupumzika hasa baada ya msimu wa
uchaguzi kukamilika wiki chache zilizopita.
Madaktari
hawajaeleza wasiwasi wowote kuhusu afya yake".
Chanzao:-BBC Swahili.
No comments:
Post a Comment