KOMBE LA DUNIA 2014:- Nigeria yaifunga Bosnia 1-0 na sasa Matumaini ya 16 Bora yafufuka. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 22, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:- Nigeria yaifunga Bosnia 1-0 na sasa Matumaini ya 16 Bora yafufuka.

Timu ya Taifa ya Nigeria imetanguliza mguu mmoja hatua ya 16 Bora ya Kombe la Dunia kufuatia ushindi wa bao 1-0 dhidi ya Bosnia alfajiri ya leo June 22, 2014,mjini Cuiaba katika mchezo wa Kundi F.

Mshambuliaji wa Nigeria, Peter Odemwingie (kushoto) akimfunga kipa wa Bosnia Asmir Begovic.

Shukrani kwake mshambuliaji wa Stoke City, Peter Odemwingie aliyefunga bao hilo pekee la ushindi dakika ya 29 dhidi ya timu ya mchezaji mwenzake wa klabu hiyo ya Uingereza, Asmir Begovic, akimalizia kazi nzuri ya Emmanuel Emenike.


FIFA KOMBE LA DUNIA 2014 RATIBA/MATOKEO.

JUMAMOSI, JUNI 21, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Argentina 1-0 Iran
F
Estadio Mineirão
2200
Germany 2 -2 Ghana
G
Estadio Castelão
0100
Nigeria 1-0 Bosnia-Herzegovina
F
Arena Pantanal
JUMAPILI, JUNI 22, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Belgium v Russia
H
Estadio do Maracanã
2200
South Korea v Algeria
H
Estadio Beira-Rio
0100
United States v Portugal
G
Arena Amazonia
JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional
Timu hiyo ya Edin Dzeko (Bosnia) inaaga Kombe la Dunia baada ya kufungwa mechi mbili mfulullizo, baada ya awali kufungwa 2-1 na Argentina katika mchezo wa kwanza, ingawa itacheza mechi ya kukamilisha ratiba dhidi ya Iran.
MSIMAMO.

KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
1
1
2
6
Nigeria
2
1
1
0
1
0
0
4
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
2
0
0
2
1
3
-2
0



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad