KILIMO KWANZA:-Tazama Picha 6 za Pawatila la kupandia Mpunga….Ni fursa kwa Wanangara kuitumia kulima kilimo bora. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 26, 2014

KILIMO KWANZA:-Tazama Picha 6 za Pawatila la kupandia Mpunga….Ni fursa kwa Wanangara kuitumia kulima kilimo bora.


Pawatila hili limenunuliwa ili kutumiwa na Wakulima wa Mpunga wilayani Ngara mkoani Kagera kupanda mpunga wao kwa kuzingatia kanuni za kilimo bora ili wapate mavuno mengi ya chakula na biashara hatimaye kuwa na Maisha bora.
 



Pawatila hili linapatikana Ofisi ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya wilaya ya Ngara ambapo Wakulima wa Mpunga mnaweza fika kujifunza namna ya kulitumia kupanda Mpunga wenu vyema wakati wa Kilimo.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad