IMANI ZA KISHIRIKINA:-Tazama Uhalifu mkubwa wa Nyumba kubomolewa/kuchomwa moto ikiwa ni Makazi ya watu wa Ukoo moja huko Kijiji cha Mlenje wilayani Kalambo mkoani Rukwa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Tuesday, June 10, 2014

IMANI ZA KISHIRIKINA:-Tazama Uhalifu mkubwa wa Nyumba kubomolewa/kuchomwa moto ikiwa ni Makazi ya watu wa Ukoo moja huko Kijiji cha Mlenje wilayani Kalambo mkoani Rukwa.

Baada ya familia moja kupatwa ni msiba wa kijana wao aitwaye HAMIS SIMWANZA aliyefia kwa mganga wa jadi kijiji cha legezamwendo ilisababisha familia ile kuhisi kijana huyo amerogwa ndani ya familia hiyo na kupelekea kubomoa na kuchoma nyumba za washukiwa hao ikiwa ni tarehe 29/05/2014 hata hivyo polisi wilaya humo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha amani inarudi kijijini pale na kuondoa imani hiyo ya ushirikina katika  kijiji hicho ambacho kipo mpakani kati ya mkoa wa Mbeya na Rukwa.

Nyumba Nyengine ikiwa imebomolewa kisha kuchomwa moto kwa imani za Kishirikina.

…….. Nyumba ikiwa imechomwa moto kwa imani ya Kishirikina…..

 Nyumba ikiwa imebomolewa na kuchomwa moto kwa imani za Kishirikina.

…….. Nyumba ikiwa imechomwa moto kwa imani ya Kishirikina…..

Bomoa bomoa ikiwa inaendelea hapa walikuwa wanatoa mapaa kisha kubomoa nyumba hizo.

 Polisi wakiwa eneo la tukio kushuhudia kile kilicho tokea tarehe 29/05/2014 hata hivyo Polisi wilaya Kalambo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha amani inarudi kijijini pale na kuondoa imani hiyo ya ushirikina katika  kijiji hicho ambacho kipo mpakani kati ya mkoa wa Mbeya na Rukwa.

Mke wa Marehemu Hamis Simwanza aliyefia kwa Mganga wa Jadi.

Mama Mzazi wa Hamisi Simwanza ambaye alifariki akiwa anatibiwa kwa mganga.

 Polisi wakiwa eneo la tukio kushuhudia kile kilicho tokea tarehe 29/05/2014 hata hivyo Polisi wilaya Kalambo walikuwa mstari wa mbele kuhakikisha amani inarudi kijijini pale na kuondoa imani hiyo ya ushirikina katika  kijiji hicho ambacho kipo mpakani kati ya mkoa wa Mbeya na Rukwa.

Hakuna makazi tena/Hasara/Majonzi ni  Ni uharibifu tuu…Picha zote na Rukwa yetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad