![]() |
Wakazi wa kata ya Magara wakimpokea Katibu
Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana kwa vifijo na Nderemo mapema leo (May 29,2014) asubuhi alipokuwa
akiwasili wilayani Babati mkoani Manyara.
|
![]() |
Mbunge wa jimbo la Babati Vijijini,Mh.Jitu Son
akimkaribisha Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana jimboni kwake mapema leo (May 29,2014)
asubuhi,akitokea wilayani Mbulu mkoani Manyara.
|
![]() |
Katibu wa NEC Itikadi,Siasa na Uenezi,Nape
Nnauye akiwahutubia wakazi wa Babati vijijini katika kata ya Magara mkoani
Manyara mapema leo(May 29, 2014) asubuhi.
|
No comments:
Post a Comment