SOMA/PICHA :-Ahalibiwa Mali zake kisa Kukutwa na Pikipiki ya Wizi—Ni kijiji cha Kasharunga wilayani Muleba mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, May 21, 2014

SOMA/PICHA :-Ahalibiwa Mali zake kisa Kukutwa na Pikipiki ya Wizi—Ni kijiji cha Kasharunga wilayani Muleba mkoani Kagera.

Muonekano wa Nyumba zikiwemo pia Mali mbalimbali ambazo zimeharibiwa wa Wananchi wa Kijiji cha Kasharunga wilayani Muleba mkoani Kagera usiku wa kuamkia leo May 21, 2014 kutokana na kushikwa hasira na kujichukulia sharia mkoani  baada ya Mkazi mmoja ambaye jina lake halikufahamika mara moja  na mkazi wa eneo hilo kutuhumiwa kuwa Mwizi baada ya kukutwa na Pikipiki ya wizi.



Wananchi hao wenye hasira walikata kata Migomba yote katika shamba la mkazi huyo pamoja na kuharibu mali zake zote huku yeye akifanikiwa kutoroka na kukimbia kusikojulikana. 

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad