Wajasiriamali
wakisomba mikungu ya ndizi kutoka kijiji cha Mulukulazo wilayani Ngara mkoani Kagera kueleke Nzaza kata ya Kabanga kutafuta soko kwa wakazi na wajasirimali wa Muyinga Nchini Burundi.
|
Kwa Biashara
ya Ndizi hivi sasa wilayani Ngara mkoani Kagera ,Mkungu mmoja umekuwa
ukipatikana kati shilingi Elfu 5 hadi shilling Elfu 10.
|
No comments:
Post a Comment