|
Ni mchezo wa
Ligi Manchester City ikishinda magoli 4-0 dhidi ya Aston Villa- magoli ambayo
yamefungwa na Dzeko kwenye dakika 64′+ 72′+ Jovetic 89′ + Yaya Toure kwenye 90
+3) na kwa mara ya 25 Msimu huu, uongozi wa Ligi Kuu Uingereza ukibadilika
Usiku wa Mei 07,2014, Uwanjani Etihad uliokumbwa na Mvua kali baada ya Manchester
City kushinda ushindi huo na kuipiku Liverpool kileleni na sasa wako Pointi 2
mbele huku kila Timu ikiwa imebakiza
Mechi moja tu.
|
|
Ligi Kuu
Uingereza msimu wa 2013/2014 unamalizika Jumapili Mei 11,2014 kwa Man City
kucheza Nyumbani na West Ham na wanahitaji Pointi 1 tu kutwaa Ubingwa huku
labda Liverpool washinde na Man City wakitoka Sare, na kufuta Tofauti ya Mabao
13 ya Man City au Man City wafungwe
Mechi hiyo na Liverpool kushinda….Mechi ya jana (Mei 07,2014) pia imefuta
kabisa matumaini ya Chelsea kutwaa Ubingwa.
|
|
Nafasi pekee
na safi waliyopata Aston Villa ya kufunga ni pale Kichwa cha Weimann kugonga Posti ya
Juu na kudunda chini nje ya Mstari wa Goli na kumwacha Mshambuliaji huyo asiamini
nini kimetokea.
|
|
Nao
:-Sunderland walishinda bao 2-0 dhidi ya West Brom kwa bao za Colback, Dakika
ya 13 na Borini dakika ya 31 na kujihakikishia kabisa kubaki Ligi Kuu Uingereza
msimu ujao.
Mechi za
Mwisho za Msimu Ligi kuu Uingereza 2013/2014
Jumapili 11
Mei 2014.
[Mechi zote
Saa 1100 Jioni, Saa za Bongo]
Cardiff v
Chelsea
Fulham v
Crystal Palace
Hull v
Everton
Liverpool v
Newcastle
Man City v
West Ham
Norwich v
Arsenal
Southampton
v Man United
Sunderland v
Swansea
Tottenham v
Aston Villa
West Brom v
Stoke
|
|
Liverpool
ndiyo timu nyingine yenye nafasi ya kutwaa ubingwa kama itashinda mechi ya
mwisho dhidi ya Newcastle na City wapoteze dhidi ya West Ham.
|
Katika
Mchezo wa Ligi ya Hispania Jana usiku-Mei 07,2014:-Matumaini ya Real Madrid
kutwaa taji la La liga yalifanywa kuwa magumu baada ya kulazimishwa kutoka sare
ya kufungana boa 1-1 na Real Valladolid katika mchezo wa ugenii.
lilikuwa ni
boa la Humberto Osorio dakika ya 85 lililoipokonya tonge mdomoni timu ya Kocha Carlo
Ancelotti, baada ya beki Sergio Ramos kufunga kwa staili ya mipira ya adhabu ya
Cristiano Ronaldo kuipa Real Madrid bao la kuongoza dakika ya 35.
|
Real Madrid sasa
imefikisha pointi 84 baada ya kucheza mechi 36 na kubaki nafasi ya 3 nyuma ya FC
Barcelona yenye pointi 85 ,mechi 36, wakati Atletico Madird wanaendelea kula
raha kileleni kwa pointi zao 88 za mechi 36 pia na Mechi zimebaki 2 tu.
|
MECHI
ZILIZOBAKI LA LIGA 2013/2014.
ATLETICO
MADRID
-Mei 11,2014:
Atletico v Malaga
-Mei 18,2014:
Barcelona v Atletico
REAL MADRID
-Mei
11,2014:Celta Vigo v Real
-Mei 18,2014:
Real v Espanyol
FC BARCELONA
-Mei 11,2014:
Elche v Barca
-Mei 18,2014:
Barca v Atletico
No comments:
Post a Comment