PICHA / RATIBA:-Tazama UKAWA walivyofunika Viwanja vya Uhuru Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera-May 22,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, May 23, 2014

PICHA / RATIBA:-Tazama UKAWA walivyofunika Viwanja vya Uhuru Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera-May 22,2014.


Baadhi ya Wananchi katika Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ,wakimsikiliza kwa Umakini Katibu Mkuu wa CHADEMA,Dr.Wilbroad Slaa katika Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba jana (May 22,2014) wakati wa mkutano wa UKAWA kuhusu masuala mtambuka ya Katiba Mpya nchini Tanzania.

............Dr.Wilbroad Slaa katika Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba jana (May 22,2014) wakati wa mkutano wa UKAWA .............



..........Mbunge wa Jimbo la Biharamulo -CHADEMA-Bw.Gervas Mbassa akiwahutubia wananchi wa  Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera ,wakati wa mkutano wa Hadhara wa UKAWA  katika Uwanja wa Uhuru mjini Bukoba jana (May 22,2014)  kuhusu masuala mtambuka ya Katiba Mpya nchini Tanzania.................

"UKAWA INAANZA TANZANIA BARA" RATIBA YA ZIARA YA AWAMU YA KWANZA YA UKAWA, TAREHE 14 -  27 MEI 2014. 
TIMU “A”- KANDA YA KAT.
1. Mhe. Mosena Nyambabe (NCCR) – Katibu Mkuu.
2. Mhe. Ashura Mustapha (CUF)  –  Mjumbe wa Baraza Kuu. 
3. John Heche (CHADEMA)  –  Mwenyekiti wa Vijana Taifa.
  
TAREHE ENEO LA MKUTANO.
 
Tarehe  23/05/2014 KIGOMA MJINI.
Tarehe  24/05/2014 MNANILA.
Tarehe  25/05/2014 KASULU MJINI.
Tarehe  26/05/2014 KASULU VIJIJINI.
Tarehe  27/05/2014 KIBONDO MJINI.
TIMU “B” –  KANDA YA KASKAZINI.
1. Dr Willibroad Slaa(CHADEMA)  –  Katibu Mkuu.
 2. Mhe. Mustapha Wandwi (CUF)  –  Mjumbe wa Baraza Kuu.
 3. Ahmed Msabaha (NCCR)  –  Mjumbe wa Halmashauri Kuu.
TAREHE ENEO LA MKUTANO.
Tarehe  23/05/2014 KARAGWE MJINI.
Tarehe  24/05/2014 NGARA MJINI.
Tarehe  25/05/2014 KATORO.
Tarehe  26/05/2014 GEITA MJINI.
TIMU “C” –  NYANDA ZA JUU KUSINI.
1. Prof. Ibrahim Haruna Lipumba(CUF)  –  Mwenyekiti.
 2. Mhe. Said Issa (CHADEMA)  –  Makamu Mwenyekiti Taifa.
 3. Martin Juju Danda(NCCR)  –  Mjumbe wa Halmashauri Kuu.
TAREHE ENEO LA MKUTANO.
Tarehe  23/05/2014 MOMBA.
Tarehe  24/05/2014 SUMBAWANGA MJINI.
Tarehe  25/05/2014 NAMANYERE.
Tarehe  26/05/2014 KATAVI MPANDA - MULELE (MAJIMOTO).
Tarehe  27/05/2014 MPANDA MJINI.

Aidha UKAWA umewataka wananchi wa maeneo yote yaliyotajwa mjiandae na awamu ya kwanza ya ziara hii. Awamu ya  pili itaendelea mwezi Juni na ziara za wabunge walioko bungeni mtatangaziwa.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad