![]() |
|
Chelsea's
Gary Cahill gets to the ball before Atlético goalkeeper Thibaut Courtois but
cannot find the target ambapo timu hizo -Atlético 0-0 Chelsea.
|
![]() |
|
Diego Costa
endured a frustrating evening as John Terry and the Chelsea defence nullified
the striker's threat.
|
![]() |
|
Fernando
Torres laboured hard up front for Chelsea but could not prise a goal on the
counter.
|
![]() |
|
Ramires
keeps close tabs on Filipe Luís as Atlético toil in creating chances.
|
![]() |
|
Chelsea's
John Obi Mikel receives a yellow card which rules him out of the second leg -
team-mate Frank Lampard and the home side's Gabi suffered a similar fate.
|
![]() |
|
Atlético's
Juanfran in action with Chelsea's Willian during their UEFA Champions League
semi-final first leg
|
![]() |
|
Madaktari wa
Chelsea wakimtibu kipa wa kimataifa wa Jamhuri ya Czech, Petr Cech kabla ya
kutoka nje na Nafasi ya Cech ilichukuliwa na Schwarzer aliyemalizia mcheo
vizuri.
|
|
Chelsea
ndiyo ilipata pigo baada ya kipa wake Peter Chech kuumia na baadaye nahodha
wake, John Terry akaumia na kutolewa pia.
|
|
Wenyeji
ndiyo walitafuta nafasi nyingine zaidi na kufanikiwa kupata kadhaa pamoja na ufundi
wa kila aina, lakini Chelsea walionekana kuzitumia vizuri mbinu za Jose
Mourinho katika ulinzi.
|
Mechi ya
pili (April 30,2014) kwenye Dimba la Stamford Bridge jijini London ndiyo
itakayotoa jibu, timu gani itasonga fainali dhidi ya Real Madrid au mabingwa
watetezi, Bayern Munich ambao wanakutaka leo usiku (April 23, 2014) kwenye
Uwanja wa Santiago Bernabeu jijini Madrid.















No comments:
Post a Comment