KUTOKA FACEBOOK:-Waziri Tibaijuka anapomjulia hali Mwalimu wake wa shule ya Msingi, Justina Kamukara (72). - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 23, 2014

KUTOKA FACEBOOK:-Waziri Tibaijuka anapomjulia hali Mwalimu wake wa shule ya Msingi, Justina Kamukara (72).


Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi, Prof. Anna Tibaijuka (kulia) ambaye pia ni mbunge wa Muleba Kusini akimjulia hali mwalimu wake wa shule ya msingi, Justina Kamukara (72), alipomtembelea nyumbani kwake kijijini Ihangiro wilayani Muleba,mkoani Kagera hivi karibuni.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad