1. CCM
kupindua Rasimu ya Katiba ya Wananchi na kupenyeza Rasimu yao yenye lengo la
kuwalinda watawala na mafisadi.
2. Waziri
William Lukuvi kutumia Kanisa kupandikiza chuki na kuchochea vurugu kwa kurejea
kauli ya Rais Jakaya Kikwete kwamba ukipitishwa muundo wa Muungano wa Shirikisho
la Serikali Tatu, jeshi litachukua madaraka na kwamba Zanzibar itaunda Dola ya
Kiislamu dhidi ya Wakristo.
3. Mjadala
wa Bunge la Katiba kugeuzwa jukwaa la kuhubiri matusi, chuki, ubaguzi wa rangi
na ukabila.
Tunawaomba
wananchi watulie na wasubiri kauli za viongozi wao juu. Wasiwe na khofu.
Kwa kupitia
njia za amani na demokrasia, Katiba ya Wananchi itapatikana.
Juu na chini ni Wajumbe wa Bunge Maalum
la Katiba ambao wanaounga mkono mfumo wa Serikali za tatu wakitoka katika
Ukumbi wa Bunge Jana (April 16,2014) mjini Dodoma baada ya kususia kikao.
|
![]() |
Makamu Mwenyekiti wa Bunge Maalum la
Katiba,Bi.Samia Suluhu Hassan akionesha nakala ya Hati ya Makubaliano ya Muungano
iliyothibitishwa Bungeni jana (April 16,2014) mjini Dodoma.
|
No comments:
Post a Comment