![]() |
|
Soko la
Kojifa ambalo huwa lipo kila Jumamosi llimekuwa msaada mkubwa sana kwa
wakazimjini Ngara na maeneo ya Jirani kwa kuja kuuza au kununua bidhaa
mbalimbali/mahitaji yao kwa gharama nafuu kabisa.
|
![]() |
|
........Hapo ni muonekano wa kabeji zikiuzwa Sokoni Kojifa ..............
|
![]() |
|
Nyanya pia kwa wingi unazipata kwa gharama ya Kilo moja kuanzia 600 mpaka 1000/=
|
![]() |
|
.....Wapenda juisi ya asili.....Nanasi pia kwa shilingi 500/= mpaka 1000/= pamoja na matunda Passion kwa fungu kuuzwa shilingi 500/=
|
![]() |
|
...Hapo Karoti,Parachichi,Ndizi ..hata Matango kwa shilingi 500/= mpaka 1000/= Ni Soko la
Kojifa ambalo huwa lipo kila Jumamosi .
|
![]() |
|
.....mboga mboga pia za majani zipo.....Matembele,kisamvu,Spinachi....Msusa.......unazipata.
|
![]() |
|
Hapa sasa kwa wale wa kukaya..Manumbhu(Viazi vitamu)...navyo bana vinapatikana kwa fungu moja 500/= mpaka 1000/=.
|
![]() |
|
..Ulishawahi kunywa Juisi ya Miwa..??Haaaaa nayo ipo kwa bei yako tu ndani ya Soko la Kila Jumamosi la Kojifa-Mjini Ngara.
|
![]() |
|
Picha juu ni upande wa wauzaji wa nguo za Mitumba...Picha chini ni muonekano wa Soko la
Kojifa ambalo hujaza wafanya biashara na wanunuzi kutoka maeneo ya jirani na ngara mjini.
|





















No comments:
Post a Comment