SOKA:-Picha-Taifa Stars yalala 3-0 dhidi ya Burundi leo April 26, 2014,Uwanja wa Taifa. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, April 26, 2014

SOKA:-Picha-Taifa Stars yalala 3-0 dhidi ya Burundi leo April 26, 2014,Uwanja wa Taifa.

Winga wa Taifa Stars, Simon Msuva akimtoka beki wa Burundi leo April 26, 2014,kwa Taifa  ya soka ya taifa ya Tanzania, Taifa Stars kuwafanya wananchi wamalizie vibaya sherehe za miaka 50 za Muungano baada ya kufungwa mabao 3-0 na Burundi katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


Msuva akiwatoka wachezaji wa Burundi katika mchezo huo wa kirafiki wa kimataifa  kwenye hii Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Taifa Stras kulala kwa bao 3-0.

Amisi Cedric kushoto akimpongeza Amisi Tambwe baada ya kufunga bao la pili,kulia ni Kavumbangu na Msuva wa Taifa Stars aliyejishika kiuno - katika mchezo wa kirafiki wa kimataifa jioni ya Leo April 26,2014 kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.

Mashabiki watoto wa Taifa Stars wakiitania Stars imepigwa serikali tatu na Burundi siku ya miaka 50 ya Muungano leo April 26, 2014,kwenye Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam na Taifa Stras kulala kwa bao 3-0.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad