![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua gwaride la Jeshi la wananchi
kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanzania.
|
![]() |
|
Kikosi cha Makomandoo kikipita kwa mwendo wa aina yake wakati wa
sherehe za miaka 50 ya Muungano.
|
![]() |
|
Kikosi cha Makomandoo kikitoa salaam kwa Rais wa
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dr.Jakaya Kikwete katika sherehe za
kuadhimisha miaka 50 ya Muungano.
|
![]() |
|
Makomandoo wakionyesha namna ya kupambana bila kutumia nyenzo hapa
wakivunja matofali kwa kutumia kichwa na mikono.
|
![]() |
|
Baadhi ya silaha zakijeshi zikipitishwa mbele ya umati kuonyesha
uwezo mkubwa wa jeshi letu.
|
![]() |
|
Ndege za kivita zikilinda Ndege ya Rais katika maonyesho ya Ndege
yaliofanyika kwenye Kilele cha Maadhimisho ya miaka 50 ya Muungano.
|
![]() |
|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akimpa mkono wa pongezi mmoja wa
wanajeshi wa kikosi cha mwamvuli .
|
![]() |
|
Njiwa wakirushwa juu kama ishara ya miaka 50 ya Muungano ambapo watu
waliorusha njiwa hao nao wametimiza miaka 50 wakizaliwa April 26, 1964.
|




















No comments:
Post a Comment