Biashara ilianza
kumnyokea lakini watu wabaya wakamtia hasara kubwa walipochoma moto vijumba
vyake vya biashara,usiku wa 29 Januari mwaka huu.Palibaki majivu tu!
Anasema
waliochoma walikamatwa ila aliyewatuma alitoroka na kuwa kesi ipo
mahakamani-wivu wa kibiashara.
Hakukata tama.ameanza tena kupajenga na anasema
atajitahidi kuimarisha ulinzi na anakataa kabisa tetesi kwamba labda alikuwa
akikaribisha wake na waume za watu 'kukutana'
Anasema pamoja na juhudi zake tatizo ni kutokuwa na mtaji wa biashara hivyo anaomba wenye mapenzi mema wamsaidie kupitia namba yake ya simu 0786671160.
Anasema pamoja na juhudi zake tatizo ni kutokuwa na mtaji wa biashara hivyo anaomba wenye mapenzi mema wamsaidie kupitia namba yake ya simu 0786671160.

No comments:
Post a Comment