KATIBA:-Taswira ya Ugawaji wa RASIMU Ya KATIBA mpya wilayani Kakonko mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, March 31, 2014

KATIBA:-Taswira ya Ugawaji wa RASIMU Ya KATIBA mpya wilayani Kakonko mkoani Kigoma.


Baadhi ya Wananchi wa Kakonko mjini wakisoma kijarida chenye maelezo ya rasimu ya pili ya Katiba baada ya kugawiwa leo March 30,2014, ambapo hivi sasa rasimu hiyo imewasilishwa Bungeni tayari kwa hatua nyingine.


Baadhi ya Wananchi wa Kakonko mjini wakisikiliza maelekezo juu ya rasimu ya pili ya Katiba leo March 30,2014, ambapo hivi sasa rasimu hiyo imewasilishwa Bungeni tayari kwa hatua nyingine.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad