PICHA:- Rais Kikwete akiongea na Wananchi leo April 25,2014 katika ukumbi wa PTA-Dar es salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 25, 2014

PICHA:- Rais Kikwete akiongea na Wananchi leo April 25,2014 katika ukumbi wa PTA-Dar es salaam.

Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo April 25,2014,katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam.

Baadhi ya wananchi wakiwa kwenye Mkutano huo wa Rais Dkt Jakaya Mrisho Kikwete wakati akiongea na Taifa kupitia mkutano wa Umoja wa Vijana CCM (UVCCM) baada ya kupokea maandamano yao leo April 25,2014,katika ukumbi wa PTA katika viwanja vya SabaSaba jijini Dar es salaam.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad