![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Christopher Ole Sendeka akikanusha
taarifa potofu iliyotolewa leo Bunge mjini Dodoma na mjumbe mwenzie wakati wa
mjadala wa kurekebisha kanuni za Bunge hilo.
|
![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Ezekeil Oluoch akichangia
marekebisho ya Kanuni za Bunge leo April 25, 2014,mjini Dodoma kabla ya
kuhairishwa kwa Bunge hilo.
|
![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Andrew Chenge akichangia
marekebisho ya Kanuni za Bunge leo April 25, 2014,mjini Dodoma kabla ya
kuhairishwa kwa Bunge hilo.
|
![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Asha Bakari Makame akichangia
marekebisho ya Kanuni za Bunge leo April 25, 2014, mjini Dodoma kabla ya
kuhairishwa kwa Bunge hilo.
|
![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Suleman
Jaffo akichangia marekebisho ya Kanuni za Bunge leo April 25,2014,mjini Dodoma
kabla ya kuhairishwa kwa Bunge hilo.
|
![]() |
|
Mjumbe wa Bunge Maalum la Katiba Evod Mmanda akiwasilisha
marekebisho ya Kanuni za Bunge leo April 25, 2014,mjini Dodoma kabla ya
kuhairishwa kwa Bunge hilo.
|















No comments:
Post a Comment