Gari ambalo
limeangukiwa na kufukiwa na mchanga uliokuwemo kwenye gari lililopata ajali.
Dereva wa gari dogo alifanikiwa kuokolewa.
|
Gari aina ya
Landrover maalumu kwa ajili ya kutoa misaada ya magari yaliyopata hitilafu
barabarani likijaribu kutoa msaada.
|
Gari lililolaliwa likionekana sehemu iliyobaki baada ya kuangukiwa na Lori la Mchanga leo April 14,2014. |
Picha juu na chini ni baadhi ya mashuhuda na askari wakishuhudia
tukio hilo lililotokea leo Asubuhi(April 14,2014) maeneo ya Makongo Dar es Salaam.
|
Gari la kikosi cha zima moto na uokoaji likiondoka na dereva wa gari dogo baada ya kufanikiwa kumuokoa. |
No comments:
Post a Comment