KTMA:-Zoezi la upigaji kura kwa wateule wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards limefunguliwa rasmi. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 01, 2014

KTMA:-Zoezi la upigaji kura kwa wateule wa Kilimanjaro Tanzania Music Awards limefunguliwa rasmi.

Zifuataza ni njia za kupiga kura:-Tovuti - Ingia www.kilitime.co.tz/KTMA kisha chagua unaowapigia kura kwa kila kipengele kisha bofya "Wasilisha" kupiga kura. Utatakiwa kuingia kwenye email yako kubofya linki uliyotumiwa ili kuhakiki.

SMS - Tuma neno KILI kwenda 15440 kwa maelezo zaidi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad