AJALI:-Tazama picha 9 za namna Lori la Mizigo lilivyonusurika kupata Ajali leo Apri 04,2014 mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, April 04, 2014

AJALI:-Tazama picha 9 za namna Lori la Mizigo lilivyonusurika kupata Ajali leo Apri 04,2014 mjini Ngara.

Ajali hiyo imetokea leo Aril 04,2014,majira ya saa nne Asubuhi katika Barabara kuu ya Ngara-Benaco eneo la mteremko wa Kojifa mjini Ngara ambapo Dereva wa Lori hilo amesema kuwa alikuwa akiteremka kwa mwendo wa kawaida na ndipo lilipomshinda na kumgeuza alipo toka.

Katika ajali hiyo hakuna mtu yeyete alijeruhiwa wala kupoteza maisha..Picha Na Mdau wetu:-Boaz Zobanya-Ngara.







No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad