Yanga SC yawapiga bao 1-0 Mabingwa wa Africa Al Ahly. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 01, 2014

Yanga SC yawapiga bao 1-0 Mabingwa wa Africa Al Ahly.


Goli  pekee la Nahodha Nadir Haroub Ali ‘Cannavaro’ jioni ya leo March 01,2014, limeipa ushindi wa bao 1-0 Yanga SC katika mchezo wa kwanza wa kuwania kucheza Hatua ya 16 Bora Ligi ya Mabingwa Afrika, dhidi ya Al Ahly ya Misri Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam.


VIKOSI.
YANGA SC:- Deogratias Munish "Dida", Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro", Kelvin Yondani "Cotton",  Frank Domayo "Chumvi",  Saimon Msuva, Haruna Niyonzima, Emmanuel Okwi, Mrisho Ngasa, Hamisi Kizza - 20
Akiba: Juma Kaseja,  Juma Abdul, David Luhende, Athuman idd "Chuji", Hassan Dilunga, Said Bahanuzi, Didier Kavumbagu.

AL AHLY:- Sherif Ekramy, Moawad, Naguib, Wael Goma, Fathy, Rabia, Ashour, Mousa Edan, Gedo, Amri Gamal

Bao la Dakika ya 82 la Nadir Haroub "Cannavaro" limewapa ushindi wa Bao 1-0 Mabingwa wa Tanzania Bara, Yanga, Leo March 01,2014,walipocheza Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam na Mabingwa wa Afrika, Al Ahly, katika Mechi ya Kwanza ya raundi ya Kwanza ya CAF CHAMPIONZ LIGI kuwania kucheza 16 bora.

Timu hizi zitarudiana huko Cairo, Misri hapo Machi 9,2014.

Mechi nyingine zinazochezwa za Raundi ya Kwanza za CAF CHAMPIONZ LIGI.
Jumamosi Machi 1,2014.

Young Africans – Tanzania 1 Al Ahly – Egypt 0
Dynamos – Zimbabwe v AS Vita Club - Congo, DR
AC Leopards de Dolisie – Congo v Primeiro de Agosto - Angola
Flambeau de l’Est – Burundi v Coton Sport FC - Cameroon
Nkana FC – Zambia v Kampala City Council FC - Uganda
Gor Mahia – Kenya 2 Espérance Sportive de Tunis – Tunisia 3
Al Zamalek – Egypt v Kabuscorp - Angola
Kaizer Chiefs - South Africa v Liga Muculmana de Maputo – Mozambique
Stade Malien de Bamako – Mali v  Al-Hilal - Sudan

Jumamosi Machi 2,2014.

Enyimba International FC – Nigeria v AS Bamako - Mali
Entente Sportive de Sétif - Algeria         v ASFA-Yennenga - Burkina Faso
Berekum Chelsea – Ghana v Al Ahli - Benghazi - Libya
Les Astres de Douala - Cameroon v TP Mazembe - Congo, DR
The Barrack Y.C.II – Liberia v Sewe Sport - Ivory Coast
Horoya Athlétique Club – Guinea v Raja Club Athletic – Morocco

Wachezaji wa Yanga SC na Mabingwa wa Africa ,Al Ahly wakiendelea na mchezo wao Leo March 01,2014,Katika uwanja wa Taifa, huku timu zote zikikosa kosa, hapa ni katika harakati za Yanga SC  kukosa bao na Al Ahly kuokoa, Yanga SC imeshinda mchezo huo kwa bao 1-0 na Timu hizi zitarudiana huko Cairo, Misri hapo Machi 9,2014 Cairo ,Misri.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad