Tazama Picha 7 za Gari la Halimashauri ya wilaya ya Ngara,mkoani Kagera likiwa limeangukiwa na mti wakati likiingia getini kwa Mkuu wa wilaya ya Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, March 12, 2014

Tazama Picha 7 za Gari la Halimashauri ya wilaya ya Ngara,mkoani Kagera likiwa limeangukiwa na mti wakati likiingia getini kwa Mkuu wa wilaya ya Ngara.

Muonekano wa gari namba DFP 2154 (Halimashauri ya wilaya ya Ngara,mkoani Kagera)likiwa limeangukiwa na mti leo March 11,2014, wakati likiingia getini kwa Mkuu wa wilaya ya Ngara,katika gari hilo aina ya Toyota Landcruser alikuwemo Dereva pekee ambaye hakujeruhika Zaidi ya gari hilo kubondeka.

Muonekano wa gari hilo likiwa limezinilwa na Mti uliolidondokea leo March 11,2014, wakati likiingia getini kwa Mkuu wa wilaya ya Ngara,katika gari hilo aina ya Toyota Landcruser alikuwemo Dereva pekee ambaye hakujeruhika Zaidi ya gari hilo kubondeka.
Kuangukiwa mti kwa gari hilo huenda kumesababishwa na mvua kubwa ilionyesha leo March 11,2014,ikiambatana na upepo mkali ambapo wiki iliyopita mvua hiyo ilileta maafa ya kuezua paa la bati katika shule ya msingi Mkididili pamoja na kuangusha nyumba 7 na kuharibu mazao katika Kitongoji cha Mumiterama,Kijiji cha Nyamiaga wilayani Ngara mkaoni Kagera.:-Picha Na:-Boaz B.Zobanya.

1 comment:

  1. Labda bundi wa 'laana' anaipigia misele halmashauri hiyo kutokana na kitendo cha halmashauri hiyo kumdhulumu kiwanja yule mzee wa Kabanga.

    ReplyDelete

Post Bottom Ad