Taswira hii ya uwanja wa Soka Maendeleo wilayani Kakonko mkoani Kigoma..??.. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 15, 2014

Taswira hii ya uwanja wa Soka Maendeleo wilayani Kakonko mkoani Kigoma..??..

Uwanja wa Soka Maendeleo ukionekana kuwa pori kwa kuota nyasi na kukosa matunzo baada ya kutelekezwa, na Chama cha soka wilayani Kakonko mkoani Kigoma.


Katika wilaya hiyo ya Kakonko,hakuna uwanja mwingine maeneo ya mjini isipokuwa huo uwanja wa Maendeleo..Swali la Kujiuliza...Je sasa Kakonko ni wilaya na Kama ikipatikana Ligi au Timu kutoka nje ya kakonko kuja kucheza mechi ya kirafiki..itakuwa Vipi..??.



Picha Na Mdau wetu:-Kenish Berish-Kakonko.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad