TASWIRA:-Mpango wa Biashara na mpango wa Soko ...Je huko uliko hali ya Masoko yakojee??. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 15, 2014

TASWIRA:-Mpango wa Biashara na mpango wa Soko ...Je huko uliko hali ya Masoko yakojee??.


Mpango wa biashara ni kauli rasmi ya malengo ya biashara, sababu zinazoyafanya yakisiwe kuwa yanawezekana, na mpango wa kutimiza malengo hayo. Aidha inaweza kuwa na habari msingi kuhusu shirika au kundi linalojaribu kufikia malengo hayo.


Malengo ya biashara yanaweza kufafanuliwa kwa lengo la faida na yale yasiyo ya faida ama kupata mali. ....Sasa nini faida ama kutotoza ushuru kwa mazingira haya ya kuuza na uchafu..??.


Navyojua Mpango wa kibiashara wenye mabadiliko katika mitazamo na utambulisho kama malengo yake makuu unaitwa mpango wa soko Je huko uliko hali ya Masoko yakojee??.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad