Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi hii Hapa,Kuchezwa Aprili 1 na 2, wakati marudiano itakuwa Aprili 8 na 9,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 22, 2014

Robo Fainali ya Ligi ya Mabingwa Ulaya na Europa Ligi hii Hapa,Kuchezwa Aprili 1 na 2, wakati marudiano itakuwa Aprili 8 na 9,2014.


Taji la Ligi ya Mabingwa Ulaya likiwa mjini Nyon, Uswisi wakati wa upangaji wa droo ya Robo Fainali March 21,2014,ambapo Droo ya Robo Fainali ya UEFA CHAMPIONZ LIGI iimefanyika huko Nyon, Uswisi na Mabingwa Watetezi Bayern Munich watakutana na Mabingwa wa England, Manchester United, na Mechi ya Kwanza kuchezwa Old Trafford Aprili 1 au 2,2014.

Timu nyingine pekee ya England iliyobaki katika michuano hiyo, Chelsea watakuwa Ugenin kucheza na Paris Saint-Germain.


Barcelona wataanza kwao Nou Camp kwa kucheza na wenzao wa Spain Atletico Madrid.

Real Madrid wataanza Nyumbani Santiago Bernabeu kwa kucheza na Klabu ya Germany Borussia Dortmund.

Mechi za kwanza zitachezwa Aprili 1 na 2,2014, wakati marudiano itakuwa Aprili 8 na 9,2014.

-DROO YA NUSU FAINALI: 11 Aprili,2014.

-Mechi kuchezwa 22 & 23 Aprili na Marudiano 29 & 30 Aprili,2014.

-FAINALI: Estádio da Luz, Lisbon, Portugal 24 Mei 2014.

WASHINDI [Miaka ya karibu].

MSIMU MSHINDI NCHI MSHINDI WA PILI NCHI GOLI
2012-13 Bayern Munich Germany Borussia Dortmund Germany 2-1
2011-12 Chelsea England Bayern Munich Germany 1-1 (Penati 4–3)
2010-11 Barcelona Spain Manchester United England 3-1
2009-10 Internazionale Italy Bayern Munich Germany 2-0
2008-09 Barcelona Spain Manchester United England 2-0
2007-08 Man United England Chelsea England 1-1 (Penati 6–5)


Taji la Europa League likiwa mjini Nyon, Uswisi wakati wa upangaji wa droo ya Robo Fainali huku Droo ya Robo Fainali ya EUROPA LIGI imefanyika huko Nyon, Uswisi na Mechi hizo zitachezwa Aprili 3 na Marudiano Aprili 10,2014.

DROO YA ROBO FAINALI.

Benfica v AZ Alkmaar
Lyon v Juventus
Basel v Valencia
FC Porto v Sevilla.

EUROPA LIGI MATOKEO YA 16 BORA.


Alhamisi Machi 20,2014.


[Kwenye Mabano Jumla ya Mabao kwa Mechi zote mbili] 

FC Anzhi – Russia 0 AZ Alkmaar – Netherlands 0 [0-1]
ACF Fiorentina – Italy 0 Juventus FC – Italy 1 [1-2]
Benfica – Portugal 2 Tottenham Hotspur – England 2 [5-3]
FC Viktoria Plzen - Czech Republic 2 Olympique Lyonnais – France 1 [3-5]
Valencia – Spain 1 Ludogorets Razgrad – Bulgaria 0 [4-0]
SSC Napoli – Italy 2          FC Porto – Portugal 2 [2-3]
Real Betis – Spain 0 Sevilla FC – Spain 2 [2-2, Sevilla wasonga Penati 4-3]
Red Bull Salzburg - Austria 1 FC Basel 1893 – Switzerland 2 [1-2]

SAFARI YA TURIN.

ROBO FAINALI: Mechi Aprili 3 & 10,2014.

NUSU FAINALI: Droo Aprili 11, Mechi Aprili 24 na Mei 1,2014.

FAINALI: Jumatano Mei 14, 2014,Juventus Stadium, Turin, Italy

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad