![]() |
|
Haya ni baadhi ya madaraja ya barabara mpya inayojengwa yakiwa
yamejaa maji.
|
![]() |
|
Baadhi ya Vijana hao waliwavusha hadi wagonjwa katika eneo hilo kama
anavyoonekana pichani akiwa amembeba mtu mzima anayeonekana kuwa ni mgonjwa.
|
![]() |
|
Baadhi ya magari yaliyokaidi amri yakivuka eneo hilo.
|
![]() |
|
Mkuu wa Wilaya ya Bagamoyo Bw.Ahmed Kipozi, akizungumza na madereva wa magari waliokuwa
wakisubiri kuvuka eneo hilo pamoja na vijana waliokuwa wakitoa huduma ya
kuwavusha watu.
|
![]() |
|
Haya ni baadhi ya maeneo hayo yaliyojaa maji, ambapo mmoja wa vijana hao
anaonekana akipiga mbizi kwa furaha.
|
![]() |
|
'Bonge' la Mgahawa likiwa limejaa maji
|
![]() |
|
Baadhi ya abiria walioshushwa upande wa pili wakiwania usafiri wa
kuelekea Bagamoyo baada ya kufaulishwa na gari jingine la uapnde wa pili.
|
![]() |
|
Dereva wa pikipiki akipakia gunia la mkaa vizuri ili awapakie na abiria
wake wawili baada ya kuvuka darajani hapo.Picha Na:Sufiani Blog.
|



















No comments:
Post a Comment