Cheki Shamba kubwa la Bangi lilivyochomwa moto na Kamati ya Ulinzi na usalama mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 01, 2014

Cheki Shamba kubwa la Bangi lilivyochomwa moto na Kamati ya Ulinzi na usalama mkoani Kigoma.

Ni Mkuu wa Mkoa wa Kigoma katikati,Kanali Mstaafu Issa Salehe Machibya, Kulia Mkuu wa Wilaya ya Kibondo Bw.Venance Mwamoto, kushoto mjumbe wa kamati ya Ulinzi wakiwa katika kijiji cha Kigina ,Kata ya Rugongwa wilaya ya Kibondo Mkoa wa Kigoma ambapo walibaini mashamba yaliyolimwa Bangi na kuyachoma moto''

Ni mafanikio ya Polisi Jamii, wakabaini Shamba hilo kubwa la Bangi katika kijiji cha Kigina,Kata ya Rugongwa wilayani Kibondo Mkoa wa Kigoma '' Watu wanatajilika kwa kufanya biashara hii haramu hasa maeneo ya mipakani..Picha na Anna Matenga Radio Kwizera FM/Kibondo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad