BREAKING NEWS:-Basi la Zuberi lapata Ajali leo March 25,2014,katika eneo la Nyabungombe,Lilikuwa likitoka Ngara kwenda Jijini Mwanza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, March 25, 2014

BREAKING NEWS:-Basi la Zuberi lapata Ajali leo March 25,2014,katika eneo la Nyabungombe,Lilikuwa likitoka Ngara kwenda Jijini Mwanza.


Ajali hiyo imetokeoa leo March 25,2014,Asubuhi katika eneo la Nyabugombe mpakani mwa wilaya ya Ngara na Biharamulo mkoani Kagera na kulihusisha basi la kampuni ya Zuberi ambalo linafanya safari zake kutoka wilayani Ngara kupitia Biharamulo mjini hadi Mkoani Mwanza…Picha zote Na:Mdau wetu Donatus Baltazari-Ngara.

Taarifa kutoka eneo la tukio zinasema kwamba  mapaka sasa ni mtu mmoja pekee amejeruhiwa kwa kuvunjika mkono na hakuna kifo cha aina yoyote kilichotokea.



Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo huenda kimechangiwa na ubovu wa barabara ya Ngara-Nyakanazi hasa katika eneo hilo la mteremko wa Nyabugombe ,kwani Dereva wa basi hilo alikuwa akienda mwendo wa taratibu.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad