MATOKEO VPL 2013/2014:- Yanga SC yabaki nafasi ya pili na Pointi 35 kwenye msimamo wa Ligi Kuu, baada ya Azam FC kuifunga Kagera Sugar mabao 4-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 02, 2014

MATOKEO VPL 2013/2014:- Yanga SC yabaki nafasi ya pili na Pointi 35 kwenye msimamo wa Ligi Kuu, baada ya Azam FC kuifunga Kagera Sugar mabao 4-0.


Mchezaji Mrisho Ngassa akimtoka beki wa Mbeya City Leo(Feb 02,2014), Jijini Dar es Salaama na zimechezwa mechi mbili za Ligi Kuu Vodacom Tanzania bara , zikihusisha Timu 3 za juu katika msimamo na  Azam FC kubaki kileleni baada kuinyuka Kagera Sugara Bao 4-0 huko Azam Complez, Chamazi na Yanga SC kuipa kipigo cha kwanza kwenye Ligi Mbeya City na kubaki Nafasi ya Pili.


Aidha Bao la Dakika ya 16 la Supastraika, Mrisho Ngassa, liliwashushia Mbeya City kipigo cha kwanza kwenye Ligi kuu Vodacoma Tanzania bara na kuifanya Yanga SC izidi kujichimbia Nafasi ya Pili ikiwa Pointi 1 nyuma ya Azam FC.

Mbeya City, ambao walipigana kiume, walipata pigo mara tu baada Kipindi cha Pili kuanza baada ya Mchezaji wao Steven Mazanda kutolewa kwa Kadi Nyekundu.

Huko Azam Complex, Chamazi  kwenye Viunga vya Jiji la Dar es Salamm, Wenyeji na Vinara wa Ligi Kuu, Azam FC, waliendelea kukaa kileleni baada kuinyuka Kager Sugar Bao 4-0.

Bao za Azam FC zilifungwa na Brian Umony, Bao mbili, na nyingine kupitia Jabir Aziz Stima na Kevin Friday.

 Kikosi cha Yanga SC:- Deogratias Munish "Dida", Mbuyu Twite, Oscar Joshua, Nadir Haroub "Cannavaro", Kelvin Yondani "Cotton", Frank Domayo "Chumvi", Saimon Msuva, Haruna Niyonzima, Didier Kavumbagu, Mrisho Ngasa, David Luhende.:-Akiba:- Juma Kaseja, Juma Abdul, Rajab Zahir, Nizar Khalfan, Said Bahanuzi, Jerson Tegete, Hamis Kiiza.
Kikosi cha Mbeya City:- David Burahn, John Kabanda, Hassan Mwasapili, Deogratius Julius, Yussuf Abdallah, Anthony Matogolo, Mwagane Yeya, Steven Mazanda, Paul Nonga, Peter Mapunda, Deus Kaseke.
Mashabiki wa Yanga SC wakiendelea kuishangilia timu yao  kwenye Uwanja wa Taifa jijini Dar es Salaam.
RATIBA MECHI ZIJAZO VPL 2013/2014.

Jumatano  Februari 5,2014.

Tanzania Prisons vs Coastal Union (Uwanja wa Sokoine, Mbeya)


Mgambo Shooting vs Ruvu Shooting (Uwanja wa Mkwakwani, Tanga)


Rhino Rangers vs Oljoro JKT (Uwanja wa Ali Hassan Mwinyi, Tabora)


JKT Ruvu vs Ashanti United (Uwanja wa Azam Complex, Chamazi)


MSIMAMO WA LIGI KUU VODACOM TANZANIA BARA 2013/2014.


NO
TEAMS
P
W
D
L
GF
GA
GD
PTS
1
Azam FC
16
10
6
0
29
10
19
36
2
Young Africans
16
10
5
1
34
12
22
35
3
Mbeya City
16
8
7
1
22
13
9
31
4
Simba SC
15
8
6
1
31
13
18
30
5
Mtibwa Sugar
15
5
6
4
19
18
1
21
6
Kagera Sugar
16
5
6
5
15
15
0
21
7
Coastal Union
15
3
9
3
11
8
3
18
8
Ruvu Shootings
14
4
6
4
16
16
0
18
9
JKT Ruvu
14
6
0
8
13
18
-5
18
10
Rhino Rangers
15
2
5
8
9
18
-9
11
11
JKT Oljoro
15
2
5
8
10
15
-5
11
12
Ashanti United
15
2
4
9
13
28
-15
10
13
Tanzania Prisons
13
1
6
6
6
16
-10
9
14
Mgambo JKT
15
2
3
10
7
26
-19
9

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad