![]() |
|
Muonekano wa Basi la kampuni ya
Ally’s lililokuwa likitoka Mkoani
Arusha kwenda Jijini Mwanza likiwa limeacha njia na kuingia kwenye mteremko wa
mlima Sekenge mkoani Singida.
|
![]() |
|
Kwa mujibu wa taarifa zilizopo ni mwamba Mfumo wa Breki ulishindwa
kufanya kazi na kulisababisha kuingia huko bondeni ... Watu wote wametoka Salama.
|







No comments:
Post a Comment