Ajenda ya
sita kuhusu hali ya kisiasa ndio ilivuta hisia za wajumbe ambapo mkutano mkuu
umetoa tamko la kulaani vurugu alizofanyiwa mwenyekiti wa chama hicho kanda ya
Magharibi Shabani Mambo wakati wa kikao cha kamati kuu kilichowavua uwanachama
Dk.Kitila Mkumbo na Samsoni Mwigamba.
Mbele ya
waandishi wa habari waliohudhuria mkutano huo, mwenyekiti wa mkutano huo ambaye
pia ni mwenyekiti wa Chadema Wilaya ya Kigoma Mjini Adam Shabani alisema baada
ya majadiliano na wajumbe, mkutano mkuu umelaani vikali kitendo hicho.
>>>>ZAIDI SIKILIZA HAPA>>>>http://www.hulkshare.com/millard_ayotv/tamko-la-chadema-wilaya-ya-kigoma-mjini-jan-12-2014
>>>>ZAIDI SIKILIZA HAPA>>>>http://www.hulkshare.com/millard_ayotv/tamko-la-chadema-wilaya-ya-kigoma-mjini-jan-12-2014






No comments:
Post a Comment